Dominika ya 1 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 9:8-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 25:4-9Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake
Ee Bwana, unijulishe njia zako,
Unifundishe mapito yako,
Uniongoze katika kweli yako, Na kunifundisha.
Maana Wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu
K. Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake
Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako,
Maana zimekuwako tokea zamani.
Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako,
Ee Bwana kwa ajili ya wema wako.
K. Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake
Bwana yu mwema, mwenye adili,
Kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia.
Wenye upole atawaongoza katika hukumu,
Wenye upole atawafundisha njia yake.
K. Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake
Somo la Pili
1Pet 3:18-22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 4:4Injili
Mk 1:12-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni