Dominika ya 5 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ayu 7:1-4, 6-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 147:1-6Haleluya. Msifuni Bwana;
Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu,
Maana kwapendeza, kusifu ni kuzuri.
Bwana ndiye aijengaye Yerusalemu,
Huwakusanya waliotawanyika wa Israeli.
(K)Msifuni Bwana, huwaponya waliopondeka moyo
Huwaponya waliopondeka moyo,
Na kuziganga jeraha zao.
Huihesabu idadi ya nyota,
Huzipa zote majina.
(K)Msifuni Bwana, huwaponya waliopondeka moyo
Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu,
Akili zake hazina mpaka.
Bwana huwategemeza wenye upole,
Huwaangusha chini wenye jeuri.
(K)Msifuni Bwana, huwaponya waliopondeka moyo
Somo la Pili
1Kor 9:16-19, 22-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 8:17Aliutwaa udhaifu wetu na kuyachukua magonjwa yetu
Aleluya
Injili
Mk 1:29-39Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni