Dominika ya Pili ya Pasaka (Dominika ya Huruma ya
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo 5:12-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 118:2-4, 13-15, 22-24Israeli na aseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Mlango wa Haruni na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Wamchao Bwana na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
(K)Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele
Ulinisukuma sana ili nianguke; Lakini Bwana akanisaidia.
Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu.
Sauti ya furaha na wokovu Imo hemani mwao wenye haki.
(K)Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele
Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu.
Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutashangilia na kuifurahia.
(K)Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele
Somo la Pili
Ufu 1:9-11a, 12-13, 17-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Injili
Yn 20:19-31Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni