Ijumaa ya 20 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rut 1: 1, 3-6, 14-16, 22Naye akasema. Tazama. shemeji yako amerejea kwa watu wake, na kwa mungu wake; basi urejee wewe umfuate shemeji yake. Naye Ruthu akasema. Isinisihi nikuache, nirejee nisifuatane nawe; maana wewe uendako nitakwenda. na wewe ukaapo nitakaa. Watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu.
Basi Naomi..akarudi; pamoja na Ruthu Mmoabi, mkwewe; ambao walirudi kutoka nchi ya Moabu; nao wakafika Bethlehemu mwanzo wa mavuno ya shayiri.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 146 : 5-10Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake,
Na tumaini lake ni kwa Bwana, Mungu wake.
Aliyezifanya mbingu na nchi,
Bahari na vitu vyote vilivyomo.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Huishika kweli milele,
Huwafanyia hukumu waliooncwa,
Huwapa wenye njaa chakula;
Bwana hufungua waliofungwa.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Bwana huwafumbua macho waliopofuka;
Bwana huwainua walioinama;
Bw ana huwapenda wenye haki;
Bwana huwahifadhi wageni;
Huwategemeza yatima ya mjane.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Bwana atamiliki milele,
Mungu wako, Ec Sayuni. kizazi hata kizazi.
Aleluva.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Shangilio la Injili
Zab 27:11Ee Bwana, unifundishe njia yako,
na kuniongoza katika njia iliyonyoka.
Aleluya.
Injili
Mt. 22: 34-40Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni