Dominika ya 19 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
1 Fal. 19:9, 11-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 85 :8-13Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako, Utupe wokovu wako.
Nisikie atakavyosema Mungu Bwana,
Maana atawambia watu wake amani.
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao,
Utukufu ukae katika nchi yetu.
K. Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako, Utupe wokovu wako.
Fadhili na kweli zimekutana,
Haki na amani zimebusiana.
Kweli imechipuka katika nchi,
Haki imechungulia kutoka mbinguni.
K. Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako, Utupe wokovu wako.
Naam, Bwana atatoa kilicho chema,
Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Haki itakwenda mbelc zake,
Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
K. Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako, Utupe wokovu wako.
Somo la Pili
Rum 9: 1-5kwamba nina huzuni nyingi na maumivu yasiyokoma moyoni mwangu. Kwa maana ningeweza kuomba mimi mwenyewe niharimishwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu, jamaa zangu kwa jinsi ya mwili; ambao ni Waisraeli, wenye kule kufanywa wana, na ule utukufu, na maagano, na kupewa torati, na ibada ya Mungu, na ahadi zake; ambao mababu ni wao, na katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu, mwenye kuhimidiwa milele. Amina.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk. 19:38Abarikiwe Mfalme ajaye kwa jina la Bwana;
Aleluya.
Injili
Mt 14:22-33Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni