Dominika ya 6 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 8:5-8, 14-17Na mitume waliokuwako Yerusalemu, waliposikia ya kwamba Samaria imelikubali neno la Mungu, wakawapelekea Petro na Yohana; ambao waliposhuka, wakawaombea wampokee Roho Mtakatifu; kwa maana bado hajawashukia hata mmoja wao, ila wamebatizwa tu kwa jina lake Bwana Yesu. Ndipo wakaweka mikono yao juu yao, nao wakampokea Roho Mtakatifu.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 66:1-7, 16, 20Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote
Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote,
Imbeni utukufu wa jina lake, Tukuzeni sifa zake.
Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini!
K. Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote
Nchi yote itakusujudia na kukuimbia,
Naam, italiimbia jina lako.
Njoni yatazameni matendo ya Mungu;
Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu;
K. Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote
Aligeuza bahari ikawa nchi kavu;
Katika mto walivuka kwa miguu;
Huko ndiko mlikomfurahia.
Atawala kwa uweza wake milele;
K. Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote
Njoni, sikieni, ninyi nyote mnaomcha Mungu,
Nami nitayatangaza aliyonitendea roho yangu.
Na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu,
Wala kuniondolea fadhili zake.
K. Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote
Somo la Pili
1 Pet 3:15-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Yesu alisema: Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake.
Aleluya
Injili
Yn 14:15-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni