Jumanne ya 4 ya Kwaresima
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Eze 47:1-9, 12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 46:1-2, 4-5, 7-8Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari.
(K)Bwana wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, Patakatifu pa maskani zake Aliye juu.
Mungu yu katikati yake hautatetemeshwa; Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
(K)Bwana wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Bwana wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Njoni myatazame matendo ya Bwana, Jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.
(K)Bwana wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Injili
Yn 5:1-3, 5-16Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni