Jumamosi ya 1 ya Kwaresima
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Kum 26:16-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:1-2, 4-5, 7-8Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya Bwana
Heri walio kamili njia zao,
Waendao katika sheria ya Bwana.
Heri wazitiio shuhuda zake,
Wamtafutao kwa moyo wote.
K. Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya Bwana
Wewe umetuamuru mausia yako,
Ili sisi tuyatii sana.
Ningependa njia zangu ziwe thabiti,
Nizitii amri zako.
K. Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya Bwana
Nitakushukuru kwa unyofu wa moyo,
Nikiisha kujifunza hukumu za haki yako
Nitazitii amri zako,
Usiniache kabisa
K. Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya Bwana
Shangilio la Injili
Amo. 5:14Injili
Mt 5:43-48Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni