Jumatano ya 3 ya Kwaresima
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Kum 4:1, 5-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Za 147:12-13, 15-16, 19-20Msifu Bwana, Ee Yerusalemu; Msifu Mungu wako, Ee Sayuni.
Maana ameyakaza mapingo ya malango yako, Amewabariki wanao ndani yako.
(K)Msifu Bwana, Ee Yerusalemu;
Huipeleka amri yake juu ya nchi, Neno lake lapiga mbio sana.
Ndiye atoaye theluji kama sufu, Huimwaga barafu yake kama majivu,
K)Msifu Bwana, Ee Yerusalemu;
Humhubiri Yakobo neno lake, Na Israeli amri zake na hukumu zake.
Hakulitendea taifa lo lote mambo kama hayo, Wala hukumu zake hawakuzijua.
K)Msifu Bwana, Ee Yerusalemu;
Injili
Mt 5:17-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni