Ijumaa ya 32 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Yoh 1:4–9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:1–2, 10–11, 17–18Heri waendao katika sheria ya Bwana.
Heri walio kamili njia zao,
Waendao katika sheria ya Bwana.
Heri wazitiio shuhuda zake,
Wamtafutao kwa moyo wote.
K. Heri waendao katika sheria ya Bwana.
Kwa moyo wangu wote nimekutafuta,
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
Moyoni mwangu nimeliweka neno lako,
Nisije nikakutenda dhambi.
K. Heri waendao katika sheria ya Bwana.
Umtendee mtumishi wako ukarimu,
Nipate kuishi, nami nitalitii neno lako.
Unifumbue macho yangu niyatazame
Maajabu yatokayo katika sheria yako.
K. Heri waendao katika sheria ya Bwana.
Shangilio la Injili
Zab 119:28, 33Unitie nguvu sawasawa na neno lako, Ee Bwana, unifundishe njia ya amri zako.
Aleluya.
Injili
Lk 17:26-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni