Dominika ya 32 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek 6:12-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 63:1-7Ee Mungu, Mungu wangu, nafsi yangu inakuonea kiu.
Ee Mungu, Mungu wangu nitakutafuta mapema,
Nafsi yangu inakuonea kiu.
Mwili wangu wakuonea shauku,
Katika nchi kama na uchovu, isiyo na maji.
K. Ee Mungu, Mungu wangu, nafsi yangu inakuonea kiu.
Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu,
Nizione nguvu zako na utukufu wako.
Maana fadhili zako ni njema kuliko uhai,
Midomo yangu itakusifu.
K. Ee Mungu, Mungu wangu, nafsi yangu inakuonea kiu.
Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai,
Kwa jina lako nitainua mikono yangu.
Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono,
Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.
K. Ee Mungu, Mungu wangu, nafsi yangu inakuonea kiu.
Ninapokukumbuka kitandani mwangu,
Nakutafakari Wewe makesha yote ya usiku.
Maana Wewe umekuwa msaada wangu,
Na uvulini mwa mbawa zako nitashangilia.
K. Ee Mungu, Mungu wangu, nafsi yangu inakuonea kiu.
Somo la Pili
1Thes 4:13-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Mt 25:1-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni