Dominika ya 18 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 55:1-3Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:8-9, 15-18Waufumbua mkono wako, Wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake.
Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma,
Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema,
Bwana ni mwema kwa watu wote,
Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
K. Waufumbua mkono wako, Wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake.
Macho ya watu wote yakuelekea Wewe,
Nawe huwapa chakula chao wakati wake.
Waufumbua mkono wako, Wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake.
K. Waufumbua mkono wako, Wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake.
Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote,
Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Bwana yu karibu na wote wamwitao,
Wote wamwitao kwa uaminifu.
K. Waufumbua mkono wako, Wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake.
Somo la Pili
Rum 8:35, 37-39Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, asema Bwana; Nami nawajua, nao wanifuata
Aleluya
Injili
Mt 14:13-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (4)
Benard Pius · 2 Agosti 2026
NIMEELEWA MUNGU NI MWEMA
Kilian Kawonga · 2 Agosti 2026
Tumsifu Yesu Kristu
Rose Wafula · 2 Agosti 2026
AMINA
Sebastian Mavukilo · 2 Agosti 2026
NENO la Mungu ndio chakula kishibishacho, tunahaswa kukitafuta hicho kwa bidii kubwa ; pesa na muda wetu. Tukimtumainia Mungu, na kumtafuta kwa uaminifu basi kile chakula cha duniani atatutengenezea mazingira ya kukipata kirahisi. Tumsifu Yesu Kristo wapendwa.
Rose Wafula · 2 Agosti 2026
AMEN
Rose Wafula · 2 Agosti 2026
God is provider any Time that you want him to provide for you is available amen