Dominika ya 11 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 19:2-6aNeno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100:1-2,3,5Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;
Mtumikieni Bwana kwa furaha;
Njoni mbele zake kwa kuimba;
(K)Sisi tu watu wake, na kondoo wa malisho yake
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake;
Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
(K)Sisi tu watu wake, na kondoo wa malisho yake
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
(K)Sisi tu watu wake, na kondoo wa malisho yake
Somo la Pili
Rum 5:6-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 5:15Ninyi nimewaita rafiki kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu
Aleluya
Injili
Mt 9:36-10:8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Kamgisha Elipidius · 15 Juni 2026
Mungu tujalie baraka kwenye familia zetu