Alhamisi ya 8 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Pet 2:2-5, 9-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100:2-5Njoni mbele za Bwana kwa kuimba kwa furaha
Mtumikieni Bwana kwa furaha;
Njoni mbele zake kwa kuimba;
K. Njoni mbele za Bwana kwa kuimba kwa furaha
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
K. Njoni mbele za Bwana kwa kuimba kwa furaha
Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru;
Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake;
K. Njoni mbele za Bwana kwa kuimba kwa furaha
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
K. Njoni mbele za Bwana kwa kuimba kwa furaha
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
Aleluya
Injili
Mk 10: 46-52Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni