Jumamosi ya 5 ya Kwaresima
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze 37:21–28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Yer 31:10–13Bwana anatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Lisikieni neno la Bwana, enyi mataifa,
Litangazeni visiwani mbali;
Mkaseme: Aliyemtawanya Israeli atamkusanya,
Na kumlinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Kwa maana Bwana amemweka huru Yakobo,
Amemkomboa mkononi mwake aliyekuwa hodari kuliko yeye.
K. Bwana anatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Watakuja na kuimba katika mlima Sayuni.
Wataukimbilia wema wa Bwana,
Nafaka, na divai, na mafuta,
Na wachanga wa kondoo na wa ng’ombe.
K. Bwana anatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Ndipo bikira atafurahi katika kucheza,
Na vijana na wazee pamoja;
Maana nitageuza masikitiko yao kuwa furaha,
Nami nitawafariji, na kuwafurahisha waache huzuni zao.
K. Bwana anatulinda kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Shangilio la Injili
Zab 95:8 , 9Injili
Yn 11:45–57Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (2)
Samweli Et.oo · 3 Aprili 2026
Tuihubili nakulitangaza neno la MUNGU maana hatujui siku mwana Waadamu ajapo
Samweli Et.oo · 3 Aprili 2026
Tafakali kuhusu upendo wa yesu kristo alio uonesha msalabani nawe ufanye ivoivo kuwapenda watu