Jumatatu ya 2 ya Mwaka
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Ebr 5:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 110:1-4Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki
Neno la Bwana kwa Bwana wangu,
Uketi mkono wangu wa kuume,
Hata niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.
K. Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki
Bwana atainyosha toka Sayuni Fimbo ya nguvu zako.
Uwe na enzi kati ya adui zako;
K. Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki
Watu wako wanajitoa kwa hiari, Siku ya uwezo wako;
Kwa uzuri wa utakatifu, Tokea tumbo la asubuhi,
Unao umande wa ujana wako.
K. Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki
Bwana ameapa, Wala hataghairi,
Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki.
K. Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki
Shangilio la Injili
Lk. 8:15Wanabarikiwa wale ambao kwa unyofu na wema wa mioyo yao hulisikia neno la Mungu na kulishika.
Aleluya.
Injili
Mk 2:18-22Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni