Jumamosi ya 2 ya Noeli
· Mwaka A
Somo la Kwanza
1Yoh 3:22-24; 4:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 2:7-8, 10-11Nitakupa mataifa kuwa urithi wako
Nitaihubiri amri; Bwana aliniambia,
Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako,
Na miisho ya dunia kuwa milki yako.
K. Nitakupa mataifa kuwa urithi wako
Na sasa, enyi wafalme, fanyeni akili,
Enyi waamuzi wa dunia, mwadibiwe.
Mtumikieni Bwana kwa kicho,
Shangilieni kwa kutetemeka.
K. Nitakupa mataifa kuwa urithi wako
Injili
Mt 4:12-17, 23-25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni