Dominika ya 18 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mhu 1:2; 2:21–23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 94:1–2, 6–9Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu.
Njoni tumwimbie Bwana,
Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Tuje mbele zake kwa shukrani,
Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
K. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu.
Njoni tuabudu tusujudu,
Tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba.
Kwa maana ndiye Mungu wetu,
Na sisi tu watu wa malisho yake,
Na kondoo za mkono wake.
K. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu.
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Msifanye migumu mioyo yenu;
Kama vile huko Meriba,
Kama siku ya Masa jangwani.
Hapo waliponijaribu baba zenu,
Wakanipima, wakayaona matendo yangu.
K. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu.
Somo la Pili
Kol 3:1–5, 9–11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Efe 1:17, 18Ewe Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, uijalie nuru macho ya mioyo yetu, ili tujue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo.
Aleluya.
Injili
Lk 12:13–21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni