Sikukuu ya Watakatifu watoto Mashahidi
· Mwaka A
Somo la Kwanza
1 Yoh 1:5-2:2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 124:1-4, 7-8Nafsi yetu imeokoka kama ndege, katika mtego wa wawindaji
Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,
Israeli na aseme sasa,
Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,
Wanadamu walipotushambulia.
K. Nafsi yetu imeokoka kama ndege, katika mtego wa wawindaji
Papo hapo wangalitumeza hai,
Hasira yao ilipowaka juu yetu
Papo hapo maji yangalitugharikisha,
Mto ungalipita juu ya roho zetu;
K. Nafsi yetu imeokoka kama ndege, katika mtego wa wawindaji
Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji,
Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
Msaada wetu u katika jina la Bwana,
Aliyezifanya mbingu na nchi.
K. Nafsi yetu imeokoka kama ndege, katika mtego wa wawindaji
Injili
Mt 2:13-18Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni