Sikukuu ya Mt. Stephano Shahidi na Mtume
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Mdo 6:8-10: 7:54-60Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 31:2-3, 5-7, 16, 20Uwe kwangu mwamba wa nguvu,
Nyumba yenye maboma ya kuniokoa.
Ndiwe genge langu na ngome yangu;
Kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunge.
(K)Mikononi mwako, naiweka roho yangu, Ee Bwana
Mikononi mwako naiweka roho yangu;
Umenikomboa, Ee Bwana, Mungu wa kweli.
Na nishangilie, nizifurahie fadhili zako,
(K)Mikononi mwako, naiweka roho yangu, Ee Bwana
Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako.
Utawasitiri na fitina za watu Katika sitara ya kuwapo kwako;
Utawaficha katika hema Na mashindano ya ndimi.
(K)Mikononi mwako, naiweka roho yangu, Ee Bwana
Injili
Mt 10:17-22Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni