Jumatano ya 3 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kumb 4:1, 5-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 147:12-13, 15-16, 19-20Msifu Bwana, Ee Yerusalemu.
Msifu Bwana, Ee Yerusalemu;
Msifu Mungu wako, Ee Sayuni.
Maana ameyakaza mapingo ya malango yako,
Amewabariki wanao ndani yako.
K. Msifu Bwana, Ee Yerusalemu.
Huipeleka amri yake juu ya nchi,
Neno lake lapiga mbio sana.
Ndiye atoaye theluji kama sufu,
Huimwaga barafu yake kama majivu.
K. Msifu Bwana, Ee Yerusalemu.
Humhubiri Yakobo neno lake,
Na Israeli amri zake na hukumu zake.
Hakulitendea taifa lolote mambo kama hayo,
Wala hukumu zake hawakuzijua.
K. Msifu Bwana, Ee Yerusalemu.
Shangilio la Injili
ShangilioInjili
Mt 5:17-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni