Dominika ya 3 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 3:1-8a, 13-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 103:1-4, 6-8, 11Bwana amejaa huruma na neema.
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Naam, vyote vilivyo ndani yangu
Vilihimidi jina lake takatifu.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana,
Wala usizisahau fadhili zake zote.
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Akusamehe maovu yako yote,
Akuponya magonjwa yako yote,
Aukomboa uhai wako na kaburi,
Akutia taji ya fadhili na rehema,
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki,
Na hukumu kwa wote wanaoonewa.
Alimjulisha Musa njia zake,
Wana wa Israeli matendo yake.
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Bwana amejaa huruma na neema,
Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.
Maana mbingu zilivyoinuka juu ya nchi,
Kadiri ile ile rehema zake ni kuu kwa wamchao.
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Somo la Pili
1Kor 10:1-6, 10-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Zab 95:8Lakini msikie sauti yake Bwana.
Injili
Lk 13:1-9Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni