Jumanne ya 2 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 1:10, 16-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 50:8-9, 16-17, 21, 23Autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wangu.
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako,
Na kafara zako ziko mbele yangu daima.
Sitatwaa ng’ombe katika nyumba yako,
Wala beberu katika mazizi yako.
K. Autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wangu.
Una nini wewe kuitangaza sheria yangu,
Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
Maana wewe umechukia maonyo,
Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
K. Autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wangu.
Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza,
Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe,
Atoaye dhabihu za kushukuru, ndiye anayenitukuza.
Naye autengenezaye mwenyendo wake,
Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
K. Autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wangu.
Shangilio la Injili
Mt 4:17Injili
Mt 23:1-12Bali ninyi msiitwe Rabi, maana mwalimu wenu ni mmoja, nanyi nyote ni ndugu. Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. Na yeyote atakayejikweza atadhiliwa; na yeyote atakayejidhili atakwezwa.
Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Aliko Andreq · 18 Machi 2025
Amina