Jumatano ya 7 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ybs 4:11-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:165, 168,171-172, 174-175Wana amani nyingi, ee Bwana, waipendao sheria yako.
Wana amani nyingi waipendao sheria yako,
Wala hawana la kuwakwaza.
K. Wana amani nyingi, ee Bwana, waipendao sheria yako.
Nimeyashika mausia yako na shuhuda zako,
Maana njia zangu zote zi mbele zako.
K. Wana amani nyingi, ee Bwana, waipendao sheria yako.
Midomo yangu na itoe sifa,
Kwa kuwa unanifundisha mausia yako.
K. Wana amani nyingi, ee Bwana, waipendao sheria yako.
Ulimi wangu na uiimbe ahadi yako,
Maana maagizo yako yote ni ya haki.
K. Wana amani nyingi, ee Bwana, waipendao sheria yako.
Ee Bwana, nimeutamani wokovu wako,
Na sheria yako ndiyo furaha yangu.
K. Wana amani nyingi, ee Bwana, waipendao sheria yako.
Nafsi yangu na iishi, ipate kukusifu,
Na hukumu zako zinisaidie.
K. Wana amani nyingi, ee Bwana, waipendao sheria yako.
Shangilio la Injili
Zab. 119:28, 33Unitie nguvu sawasawa na neno lako, Ee Bwana, unifundihse njia ya amri zako.
Aleluya.
Injili
Mk 9:38-40Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni