Jumatano ya 4 ya Majilio
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Wim 2:8-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 33:2-3, 11-12, 20-21Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki; Mwimbieni wimbo mpya
Mshukuruni Bwana kwa kinubi,
Kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
Mwimbieni wimbo mpya,
Pigeni kwa ustadi kwa sauti ya shangwe.
K. Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki; Mwimbieni wimbo mpya
Shauri la Bwana lasimama milele,
Makusudi ya moyo wake vizazi na vizazi.
Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao,
Watu aliowachagua kuwa urithi wake.
K. Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki; Mwimbieni wimbo mpya
Nafsi zetu zinamngoja Bwana;
Yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.
Maana mioyo yetu itamfurahia,
Kwa kuwa tumelitumainia jina lake takatifu.
K. Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki; Mwimbieni wimbo mpya
Shangilio la Injili
ShangilioEe Utokaye Mashariki, uliye mng’ao wa mwanga wa milelel na jua la haki, njoo kuwaangazia wakaao gizani na katika kivuli cha mauti.
Aleluya.
Injili
Lk 1:39-45Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni