Jumatatu ya 4 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 11:32-40Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 31:19-23Iweni hodari, mpige moyo konde, nyinyi nyote mnaongoja Bwana.
Jinsi zilivyo nyingi fadhili zako Ulizowawekea wakuchao;
Ulizowatendea wakukimbiliao Mbele ya wanadamu!
K. Iweni hodari, mpige moyo konde, nyinyi nyote mnaongoja Bwana.
Utawasitiri na fitina za watu Katika sitara ya kuwapo kwako;
Utawaficha katika hema Na mashindano ya ndimi.
K. Iweni hodari, mpige moyo konde, nyinyi nyote mnaongoja Bwana.
Bwana ahimidiwe;
kwa maana amenitendea Fadhili za ajabu katika mji wenye boma.
K. Iweni hodari, mpige moyo konde, nyinyi nyote mnaongoja Bwana.
Nami nalisema kwa haraka yangu,
Nimekatiliwa mbali na macho yako;
Lakini ulisikia sauti ya dua yangu Wakati nilipokulilia.
K. Iweni hodari, mpige moyo konde, nyinyi nyote mnaongoja Bwana.
Mpendeni Bwana, Ninyi nyote mlio watauwa wake.
Bwana huwahifadhi waaminifu,
Humlipa atendaye kiburi malipo tele.
K. Iweni hodari, mpige moyo konde, nyinyi nyote mnaongoja Bwana.
Shangilio la Injili
Yn 15:15Bwana anasema: Siwaiti tena watumwa, lakini ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.
Aleluya.
Injili
Mk 5:1-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni