Kumbukumbu ya Mt. Agnes, Bikira na Shahidi
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 6:10–20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 111:1–2, 4–5, 9–10Bwana atalikumbuka agano lake milele.
Aleluya,
Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote,
Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.
Matendo ya Bwana ni makuu,
Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo.
K. Bwana atalikumbuka agano lake milele.
Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu;
Bwana ni mwenye fadhili na rehema.
Amewapa wamchao chakula,
Atalikumbuka agano lake milele.
K. Bwana atalikumbuka agano lake milele.
Amewapelekea watu wake ukombozi,
Ameamuru agano lake liwe la milele,
Jina lake ni takatifu la kuogopwa,
Sifa zake zakaa milele.
K. Bwana atalikumbuka agano lake milele.
Shangilio la Injili
ShangilioMtu akinipenda atalishika neno langu, na baba yangu atampenda, na sisi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Mk 2:23-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni