Ubatizo wa Bwana
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Isa 42:1-4,6-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 29:1-4, 9-10Bwana atawabariki watu wake kwa amani.
Mpeni Bwana, enyi wana wa Mungu,
Mpeni Bwana utukufu na nguvu;
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake;
Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu.
K. Bwana atawabariki watu wake kwa amani.
Sauti ya Bwana i juu ya maji;
Mungu wa utukufu alipiga radi;
Bwana yu juu ya maji mengi.
Sauti ya Bwana ina nguvu;
Sauti ya Bwana ina adhama;
K. Bwana atawabariki watu wake kwa amani.
Sauti ya Bwana yawazalisha ayala,
Na ndani ya hekalu lake Wanasema wote, Utukufu.
Bwana aliketi juu ya Gharika; Naam,
Bwana ameketi hali ya mfalme milele.
K. Bwana atawabariki watu wake kwa amani.
Somo la Pili
Mdo 10:34-38Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mk 9:7Mbingu zilifunguka na sauti ya Baba ikasikika "Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu msikieni yeye."
Aleluya.
Injili
Lk 3:15-16, 21-22Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (2)
Dastan Agapitho · 12 Januari 2025
Amina sana
LIVINUS MUKYANUZI · 12 Januari 2025
AMINA