Sherehe Ya Epifania
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Isa 60:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 72:1-2, 7-8, 10-13Mataifa yote ya ulimwengu, watakusujudia, ee Bwana.
Ee Mungu, mpe mfalme hukumu zako.
Na mwana wa mfalme haki yako.
Atawaamua watu wako kwa haki,
Na watu wako walioonewa kwa hukumu.
K. Mataifa yote ya ulimwengu, watakusujudia, ee Bwana.
Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi,
Na wingi wa Amani hata mwezi utakapokoma
Na awe na enzi toka bahari hata bahari,
Toka mto hata miisho ya dunia.
K. Mataifa yote ya ulimwengu, watakusujudia, ee Bwana.
Wafalme wa Tarshisi na visiwa walete kodi,
Wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa.
Naam, wafalme wote na wamsujudie;
Na mataifa yote wamtumikie.
K. Mataifa yote ya ulimwengu, watakusujudia, ee Bwana.
Kwa maana atamwokoa mhitaji aliapo,
Na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi
Atamhurumia aliye dhaifu na maskini,
Na nafsi za wahitaji ataziokoa.
K. Mataifa yote ya ulimwengu, watakusujudia, ee Bwana.
Somo la Pili
Efe 3:2-3, 5-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 8:12Mimi ndimi nuru ya Ulimwengu, asema Bwana, Yeye anifuataye atakuwa na nuru ya uzima
Aleluya.
Injili
Mt 2:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
TGNED DELIA · 5 Januari 2025
Thanks