Ijumaa ya 3 ya Majilio
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Isa. 56:1–3, 6–8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 67:1–2, 4, 6–7Watu na wakushukuru, Ee Mungu, watu wote na wakushukuru.
Mungu na atufadhili na kutubariki,
Na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulike duniani,
Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu, watu wote na wakushukuru.
Mataifa na washangilie,
Naam, waimbe kwa furaha,
Maana kwa haki utawahukumu watu,
Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu, watu wote na wakushukuru.
Nchi imetoa mazao yake;
Mungu Mungu wetu, ametubariki.
Mungu atatubariki sisi;
Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu, watu wote na wakushukuru.
Shangilio la Injili
ShangilioUje, Bwana, kututembelea katika Amani, ili tufurahi kwa moyo wote mbele yako.
Aleluya.
Injili
Yn. 5:33–36Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni