Ijumaa ya Kipindi cha Noeli
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Yoh 2:29-3:6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1, 3-6Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu
Amezikumbuka rehema zake,
Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
Miisho yote ya dunia imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote, Inueni sauti,
imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu
Mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi,
Kwa kinubi na sauti ya zaburi.
Kwa panda na sauti ya baragumu.
Shangilieni mbele za Mfalme, Bwana.
K. Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu
Injili
Yn 1:29-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni