Jumatano ya 1 ya Majilio
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 25:6-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 23:1-3, 5-6Nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
Bwana ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu.
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza.
K. Nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
Kando ya maji ya utulivu huniongoza,
Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza.
Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
K. Nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
Waandaa meza mbele yangu,
Machoni pa watesi wangu.
Umenipaka mafuta kichwani pangu,
Na kikombe changu kinafurika.
K. Nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
Hakika wema na fadhili zitanifuata,
Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
K. Nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
Shangilio la Injili
ShangilioTazama Bwana atakuja kuwaokoa watu wake, Heri walio tayari kumlaki.
Aleluya.
Injili
Mt 15:29-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni