Jumanne ya 29 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Efe 2:12–22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 85:9–14Bwana anawaambia watu wake amani.
Nisikie atakavyosema Bwana,
Maana atawaambia watu wake amani.
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao,
Utukufu ukae katika nchi yetu.
K. Bwana anawaambia watu wake amani.
Fadhili na kweli zimekutana,
Haki na amani zimebusiana.
Kweli imechipuka katika nchi,
Haki imechungulia kutoka mbinguni.
K. Bwana anawaambia watu wake amani.
Bwana atatoa kilicho chema,
Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Haki itakwenda mbele zake,
Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
K. Bwana anawaambia watu wake amani.
Shangilio la Injili
Yn 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata.
Aleluya.
Injili
Lk 12:35-38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni