Ijumaa ya 27 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Gal 3:7-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 111:1-6Alikumbuka agano lake milele.
Aleluya.
Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote,
Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.
Matendo ya Bwana ni makuu,
Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo.
K. Alikumbuka agano lake milele.
Kazi yake ni heshima na adhama,
Na haki yakaa milele.
Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu,
Bwana ni mwenye fadhili na rehema.
K. Alikumbuka agano lake milele.
Amewapa wamchao chakula,
Atalikumbuka agano lake milele.
Amewajulisha watu wake uwezo wa matendo yake,
Kwa kuwapa urithi wa mataifa.
K. Alikumbuka agano lake milele.
Shangilio la Injili
1Sam 3:9, Yn 6:68Nena, Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia; wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Lk 11:15-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni