Jumatano ya 2 ya Majilio
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Isa 40:25-31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 103:1-4, 8, 10Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana,
Wala usizisahau fadhili zake zote.
(K)Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Akusamehe maovu yako yote,
Akuponya magonjwa yako yote,
Aukomboa uhai wako na kaburi,
Akutia taji ya fadhili na rehema,
(K)Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Bwana amejaa huruma na neema,
Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.
Hakututenda sawasawa na hatia zetu,
Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu.
(K)Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Shangilio la Injili
ShangilioTazama Bwana atakuja kuwaokoa watu wake, Heri walio tayari kumlaki.
Aleluya.
Injili
Mt 10:28-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni