JUmatano ya 25 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mit 30:5-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:29, 72, 89, 101, 104, 163Neno lako nit aa ya miguu yangu.
Uniondolee njia ya uongo,
Unineemeshe kwa sheria yako.
Sheria ya kinywa chako ni njema kwangu,
Kuliko maelfu ya dhahabu na fedha.
K. Neno lako nit aa ya miguu yangu.
Ee Bwana, neno lako lasimama,
Imara mbinguni hata milele.
Nimeiepusha miguu yangu na kila njia mbaya,
Ili nilitii neno lako.
K. Neno lako nit aa ya miguu yangu.
Kwa mausia yako najipatia ufahamu,
Ndiyo maana naichukia kila njia ya uongo.
Nimeuchukia uongo, umenikirihi,
Sheria yako nimeipenda.
K. Neno lako nit aa ya miguu yangu.
Shangilio la Injili
1Sam 3:9Nena, Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia, wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Lk 9:1-6Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni