Dominika ya 23 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 35:4-7aNeno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 146:7-10Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Bwana ndiye ashikaye kweli milele,
Huwafanyia hukumu walioonewa,
Huwapa wenye njaa chakula;
Bwana hufungua waliofungwa;
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Bwana huwafumbua macho waliopofuka;
Bwana huwainua walioinama;
Bwana huwapenda wenye haki;
Bwana huwahifadhi wageni;
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Huwategemeza yatima na mjane;
Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Bwana atamiliki milele, Mungu wako,
Ee Sayuni, kizazi hata kizazi.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Somo la Pili
Yak 2:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 8:12Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, asema Bwana;
Yeye anifuataye atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya.
Injili
Mk 7:31-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni