Ijumaa ya 22 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Kor 4:1–5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 37:3–6, 27, 28, 39–40Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Umkabishi Bwana njia yako,
Pia umtumaini, naye atafanya.
Atajitokeza haki yako kama nuru,
Na hukumu yako kama adhuhuri.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Umtumaini Bwan aukatende mema,
Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Nawe utajifurahisha kwa Bwana,
Naye atakupa haja za moyo wako.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Jiepue na uovu, utende mema,
Na kukaa hata milele.
Kwa kuwa Bwana hupenda haki,
Wala hawaachi watauwa wake.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Na wokovu wa wenye haki una Bwana;
Yeye ni ngome yao wakati wa taabu.
Naye Bwana huwasaidia na kuwaopoa;
Huwaopoa na wasio haki na kuwaokoa;
Kwa kuwa wamemtumaini Yeye.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Shangilio la Injili
Zab 25:4, 5Ee Bwana, unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako.
Aleluya.
Injili
Lk 5:33–39Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Peter Lokwawi · 7 Septemba 2024
Marko