Jumamosi ya 21 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Kor 1:26–31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 33:12–13, 18–21Heri taifa ambalo Bwana aliowachagua kuwa urithi wake.
Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao,
Watu aliowachagua kuwa urithi wake.
Toka mbinguni Bwana huchungulia,
Huwatazama wanadamu wote pia.
K. Heri taifa ambalo Bwana aliowachagua kuwa urithi wake.
Tazama, jicho la Bwana li kwao wamchao,
Wazingojeao fadhili zake.
Yeye huwaponya nafsi zao na mauti,
Na kuwahuisha wakati wa njaa.
K. Heri taifa ambalo Bwana aliowachagua kuwa urithi wake.
Nafsi zetu zinamngoja Bwana,
Yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.
Maana mioyo yetu itamfurahia,
Kwa kuwa tumelitumainia jina lake takatifu.
K. Heri taifa ambalo Bwana aliowachagua kuwa urithi wake.
Shangilio la Injili
Zab 25:4, 5Ee Bwana, unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako.
Aleluya.
Injili
Mt 25:14–30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni