Ijumaa ya 19 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze 16:59–63Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Isa 12:2–6Hasira yako imegeukia mbali, nawe unanifariji moyo.
Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu;
Nitatumaini wala sitaogopa;
Maana Bwana Yehova ni nguvu zangu
Na wimbo wangu;
Naye amekuwa wokovu wangu.
K. Hasira yako imegeukia mbali, nawe unanifariji moyo.
Basi, kwa furaha mtateka maji
Katika visima vya wokovu.
Na katika siku hiyo mtasema,
Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake;
Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa,
Litajeni jina lake kuwa limetukuka.
K. Hasira yako imegeukia mbali, nawe unanifariji moyo.
Mwimbieni Bwana; kwa kuwa ametenda makuu;
Na yajulikane haya katika dunia yote.
Paza sauti, piga kelele, mwenyeji wa Sayuni;
Maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
K. Hasira yako imegeukia mbali, nawe unanifariji moyo.
Shangilio la Injili
Ebr 4:12Kwa kupenda kwake mwenyewe, Baba alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limbuko la viumbe vyake.
Aleluya.
Injili
Mt 19:3–12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Hellen Vumilia · 17 Agosti 2024
Amina