Jumamosi ya 17 ya Mwaka
· Mwaka B
Somo la Kwanza
Yer 26:11-16, 24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 69:14-15, 29-30, 32-33Kwa wingi wa fadhili zako, unijibu, Ee Bwana.
Uniponye kwa kunitoa matopeni, Wala usiniache nikazama.
Na niponywe nao wanaonichukia, Na katika vilindi vya maji.
Mkondo usinigharikishe, wala vilindi visinimeze,
Wala shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu.
K. Kwa wingi wa fadhili zako, unijibu, Ee Bwana.
Nami niliye maskini na mtu wa huzuni, Mungu, wokovu wako utaniinua.
Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, Nami nitamtukuza kwa shukrani.
K. Kwa wingi wa fadhili zako, unijibu, Ee Bwana.
Walioonewa watakapoona watafurahi;
Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji,
Wala hawadharau wafungwa wake.
K. Kwa wingi wa fadhili zako, unijibu, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Mt 5:10Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Aleluya
Injili
Mt 14:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni