Dominika ya 16 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yer 23:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 23:1-3, 3-4, 5, 6Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Hunihuisha nafsi yangu;
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Huniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Waandaa meza mbele yangu,
Machoni pa watesi wangu.
Umenipaka mafuta kichwani pangu,
Na kikombe changu kinafurika.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Somo la Pili
Ef 2:13-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 15:15Siwaiti tena watumwa; kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake; lakini ninyi nimewaita rafiki; kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.
Aleluya.
Injili
Mk 6:30-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Nicolous Mlwilo · 21 Julai 2024
Amina hongera kwa utume