Jumamosi ya 14 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 6:1–8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 93:1–2, 5Bwana ametamalaki, amejivika adhama.
Bwana ametamalaki, amejivika adhama,
Bwana amejivika, na kujikaza nguvu.
K. Bwana ametamalaki, amejivika adhama.
Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike;
Kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani;
Wewe ndiwe uliye tangu milele.
K. Bwana ametamalaki, amejivika adhama.
Shuhuda zako ni amini sana;
Utakatifu ndio uifaao nyumba yako,
Ee Bwana, milele na milele.
K. Bwana ametamalaki, amejivika adhama.
Shangilio la Injili
1Pet 1:25Neno la Bwana hudumu hata milele, na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu.
Aleluya.
Injili
Mt 10:24–33Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni