Alhamisi ya 13 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Amo 7:10–17Basi, sasa lisikie neno la Bwana; Wewe unasema, Usitabiri, Usitabiri juu ya Israeli, wala usitoe neno lako juu ya nyumba ya Isaka; kwa hiyo,
Bwana asema hivi, Mke wako atakuwa kahaba mjini, na wana wako na binti zako wataanguka kwa upanga, na shamba lako litagawanywa kwa kamba; na wewe mwenyewe utakufa katika nchi iliyo najisi; na bila shaka Israeli atachukuliwa mbali hali ya kufungwa kutoka nchi yake.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 19:7–10Hukumu za Bwana ni kweli, zina haki kabisa.
Ushuhuda wa Bwana ni amini,
humtia mjinga hekima.
Maagizo ya Bwana ni ya adili,
Huufurahisha moyo.
K. Hukumu za Bwana ni kweli, zina haki kabisa.
Amri ya Bwana ni safi,
huyatia macho nuru.
Kicho cha Bwana ni kitakatifu,
kinadumu milele.
K. Hukumu za Bwana ni kweli, zina haki kabisa.
Hukumu za Bwana ni kweli,
zina haki kabisa.
K. Hukumu za Bwana ni kweli, zina haki kabisa.
Ni za kutamanika kuliko dhahabu,
Kuliko wingi wa dhahabu safi.
Nazo ni tamu kuliko asali,
Kuliko sega la asali.
K. Hukumu za Bwana ni kweli, zina haki kabisa.
Shangilio la Injili
Zab 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.
Aleluya.
Injili
Mt 9:1-8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni