Jumapili ya 1 ya Majilio
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Isa 2:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 122:1-4, 8-9Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.
Nalifurahi waliponiambia,
Na twende nyumbani kwa Bwana.
Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
K. Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.
Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,
Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za Bwana;
K. Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.
Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe.
Kwa ajili ya nyumba ya Bwana, Mungu wetu, Nikutafutie mema.
K. Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.
Somo la Pili
Rum 13:11-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Zab 85:7Ee Bwana utuonyesha rehema zako, Utupe na wokovu wako,
Aleluya
Injili
Mt 24:37-44Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni