Jumamosi ya 10 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Fal 19:19-21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 16:1-2, 5, 7-10Bwana ndiye fungu la posho langu, na la kikombe changu.
Mungu, unihifadhi mimi,
Kwa maana nakukimbilia Wewe.
Nimemwambia Bwana, Ndiwe Bwana wangu;
Sina wema ila utokao kwako.
K. Bwana ndiye fungu la posho langu, na la kikombe changu.
Nitamhimidi Bwana aliyenipa shauri,
Naam, mtima wangu umenifundisha usiku.
Nimemweka Bwana mbele yangu daima,
Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
K. Bwana ndiye fungu la posho langu, na la kikombe changu.
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi,
Na utukufu wangu unashangilia,
Naam mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Maana hutakuachia kuzimu nafsi yangu,
Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.
K. Bwana ndiye fungu la posho langu, na la kikombe changu.
Shangilio la Injili
Yak. 1:21Pokeeni kwa upole neno la Mungu lililopandwa ndani, liwezalo kuziokoa roho zenu.
Aleluya.
Injili
Mt. 5:33-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni