Alhamisi ya 5 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 15:7-21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 96:1-3, 10Wahubirini mataifa habari za utukufu wake.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Mwimbieni Bwana nchi yote.
Mwimbieni Bwana, libarikini jina lake.
K. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake.
Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.
Wahubirini mataifa habari za utukufu wake,
Na watu wote habari za maajabu yake.
K. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake.
Semeni katika mataifa, Bwana ametamalaki;
Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike,
Atawahukumu watu kwa adili.
K. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake.
Shangilio la Injili
Lk 24:25-26Ilimpasa Kristo kupata mateso haya na kuingia katika utukufu wake.
Aleluya.
Injili
Yn 15:9-11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni