Dominika ya 5 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 9:26-31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 22:25-27, 28-31Kwako, Bwana, zinatoka sifa zangu katika kusanyiko kubwa.
Kwako zinatoka sifa zangu Katika kusanyiko kubwa.
Nitaziondoa nadhiri zangu Mbele yao wamchao.
Wapole watakula na kushiba,
Wamtafutao Bwana watamsifu;
Mioyo yenu na iishi milele.
K. Kwako, Bwana, zinatoka sifa zangu katika kusanyiko kubwa.
Miisho yote ya dunia itakumbuka,
Na watu watamrejea Bwana;
Jamaa zote za mataifa watamsujudia.
Wakwasi wote wa dunia watakula na kusujudu,
Humwinamia wote washukao mavumbini;
K. Kwako, Bwana, zinatoka sifa zangu katika kusanyiko kubwa.
Naam, yeye asiyeweza kujihuisha nafsi yake,
Wazao wake watamtumikia.
Zitasimuliwa habari za Bwana,
Kwa kizazi kitakachokuja,
Nao watawahubiri watakaozaliwa haki yake,
Ya kwamba ndiye aliyeyafanya.
K. Kwako, Bwana, zinatoka sifa zangu katika kusanyiko kubwa.
Somo la Pili
1 Yoh 3:18-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 15:4-5Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu, akaaye ndani yangu, huyo huzaa sana
Aleluya.
Injili
Yn 15:1-8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni