Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2 Sam 5:1-3Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 122:1-5Nalifurahi waliponiambia,
Na twende nyumbani kwa Bwana.
Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
(K)Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Ee Yerusalemu uliyejengwa
Kama mji ulioshikamana,
Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za Bwana;
(K)Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Ushuhuda kwa Israeli,
Walishukuru jina la Bwana.
Maana huko viliwekwa viti vya hukumu,
Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.
(K)Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Somo la Pili
Kol 1:11-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mk 1:10Abarikiwe Yeye ajaye kwa jina la Bwana Ubarikiwe na ufalme ujao, wa baba yetu Daudi.
Aleluya
Injili
Lk 23:35-43Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni