Jumatano ya Juma Kuu
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 50:4-9aNeno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 69:7-9, 20-21, 30, 32-33Maana kwa ajili yako nimestahimili laumu,
Fedheha imenifunika uso wangu.
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu,
Na msikwao kwa wana wa mama yangu.
(K)Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, ee Bwana.
Laumu imenivunja moyo, Nami ninaugua sana.
Nikangoja aje wa kunihurumia, wala hakuna;
Na wa kunifariji, wala sikumwona mtu.
Wakanipa uchungu kuwa chakula changu;
Nami nilipokuwa na kiu wakaninywesha siki.
(K)Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, ee Bwana.
Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo,
Nami nitamtukuza kwa shukrani.
Walioonewa watakapoona watafurahi;
Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji,
Wala hawadharau wafungwa wake.
(K)Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, ee Bwana.
Injili
Mt 26:14-25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni